Nadhiri za daima ni zile zinazowekwa hadi kufa, tofauti na nadhiri za muda ambazo mara nyingi zinawekwa kama maandalizi au jaribio kabla ya zile za daima katika mashirika ya kitawa[1][2].
Kadiri ya Mkusanyo wa Sheria za Kanisa la kilatini, muda huo ni kuanzia miaka 3 hadi 6[3].
Kwa kawaida nadhiri hizo zinahusu mashauri ya Kiinjili ya useja mtakatifu, ufukara na utiifu.
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nadhiri za daima kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |