Beseni la mto Ogowe.
Mto Ogooué.
Wanawake na watoto mtoni (1890-1893).

Mto Ogowe (au Ogooué) ndio mto muhimu zaidi wa Gabon, na ni wa nne kwa wingi wa maji barani Afrika (baada ya mto Kongo, mto Niger na mto Zambezi)[1].

Chanzo chake ni katika Jamhuri ya Kongo na delta yake kubwa ni kwenye ghuba ya Guinea (bahari ya Atlantiki).

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi

[hariri | hariri chanzo]
  1. Scheffel, Richard L.; Wernet, Susan J., whr. (1980). Natural Wonders of the World. United States of America: Reader's Digest Association, Inc. ku. 275. ISBN 0-89577-087-3.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Ogowe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


2°40′S 14°30′E / 2.667°S 14.500°E / -2.667; 14.500