Mpunga (Oryza spp.)
|
![Mpunga wa kiasia](https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/7/75/Rice_seed_heads.JPG/250px-Rice_seed_heads.JPG)
Mpunga wa kiasia
|
Uainishaji wa kisayansi
|
Himaya:
|
Planta (mimea)
|
(bila tabaka):
|
Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
|
(bila tabaka):
|
Monocots (Mimea ambayo mche wao una jani moja tu)
|
(bila tabaka):
|
Commelinids (Mimea kama kongwe)
|
Oda:
|
Poales (Mimea kama manyasi)
|
Familia:
|
Poaceae (Mimea iliyo na mnasaba na nyasi)
|
Jenasi:
|
Oryza L.
|
Spishi:
|
O. barthii A. Chev.
O. glaberrima Steud.
O. longistaminata Steud. & Roehr.
O. rufipogon Griff.
O. sativa L.
O. nivara S.D. Sharma & Shastry
|
|
Mpunga ni aina ya mimea katika familia ya manyasi (Poaceae). Spishi kadhaa zinapandwa katika sehemu mbalimbali za dunia, lakini mpunga wa kiasia ni ile ya kawaida.
Mpunga ni chanzo cha chakula kwa watu wengi duniani. Punje (mbegu) zake ni nafaka na huitwa mchele. Mchele uliopikwa ni wali.