Monasteri ya Montecassino.

Montecassino ni kilima chenye kimo cha mita 516 juu ya usawa wa bahari kilichomo kusini mwa mkoa wa Lazio, Italia ya Kato.

Ni maarufu kwa monasteri iliyoanzishwa na Benedikto wa Nursia juu yake.

Marejeo

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Monte Cassino
Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Montecassino kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.