Medali mbalimbali. Utepe unatumika kuivalisha.

Medali (kutoka Kiingereza: medal) ni kipande cha metali anachopewa mshindi katika mashindano ya mchezo au mtu anayepongezwa kwa mafanikio. Watu hupewa medali kama tuzo kutokana na kufanikiwa katika jambo fulani. Thamani ya medali hutegemea na makubaliano ya tuzo husika: mtu huweza kupewa medali ya shaba, fedha, dhahabu n.k.

Marejeo

Marejeo mengine

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Medali
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Medali kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.