Burkina Faso ni nchi yenye lugha nyingi. Inakadiriwa kuwa lugha 70 zinazungumzwa huko, kati ya hizo 66 ni za asili.

Lugha ya [1] Kimooré inazungumzwa na takriban 52.5% ya wakazi, haswa katika eneo la kati karibu na mji mkuu, Ouagadougou.

Marejeo

[hariri | hariri chanzo]
  1. Lewis, M. Paul (ed.), 2009. Ethnologue: Languages of the World, Sixteenth edition. Dallas, Tex.: SIL International. (Page on "Languages of Burkina Faso.")