Laetoli ni eneo karibu na Bonde la Oltupai (Tanzania), km 45 kusini kwake, ambapo mwaka 1972 Mary Leakey aligundua nyayo za kale (miaka milioni 3.7 iliyopita) za zamadamu watatu waliotembea kwa miguu miwili.
Mwaka 2015 ushirikiano wa watafiti wa Tanzania na wa Italia uliwezesha kugundua nyayo nyingine mbili za msafara huohuo, za mmojawapo zikiwa ndefu sana kuliko nyingine.
2°59′46″S 35°21′09″E / 2.99611°S 35.35250°E
Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Laetoli kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |