49°30′N 125°30′W / 49.500°N 125.500°W[1]
Kisiwa Vancouver (kwa Kiingereza: Vancouver Island) kiko katika bahari ya Pasifiki, karibu sana na pwani ya Kanada. Ni sehemu ya British Columbia. Urefu unafikia km 460 na upana km 100,[2]. Eneo lake lote ni km2 32134.
Kilele cha juu ni mlima Golden Hinde wenye kimo cha m 2,195 juu ya usawa wa bahari[3].
((cite web))
: CS1 maint: date auto-translated (link)
((cite book))
: Cite has empty unknown parameter: |coauthor=
(help)CS1 maint: postscript (link)Kisiwa Vancouver travel guide kutoka Wikisafiri
Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kisiwa Vancouver kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |