Hii ni makala ya lugha ya Kigogo. Kwa maana mengine ya jina hili angalia Kigogo (maana).

Kigogo (pia huitwa Chigogo) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wagogo. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kigogo imehesabiwa kuwa watu 1,440,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kigogo iko katika kundi la G10. Lugha huandikwa na herufi za Alfabeti ya Kilatini.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]

Marejeo

[hariri | hariri chanzo]

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigogo (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.