Wilaya za Hispania na Ufaransa Kieuskara kinapotumika.

Kieuskara (au Kibaski) ni lugha hai ya pekee[1] inayotumiwa na Wabaski hasa mpakani mwa Hispania kaskazini na Ufaransa kusini-magharibi kwenye milima ya Pirenei karibu na bahari ya Atlantiki.[2]

Ingawa inakubalika ilikuwa inatumika huko kabla ya lugha za Kihindi-Kiulaya kuenea Ulaya magharibi, haieleweki ilianzaje, kwa sababu hakuna lugha yoyote inayofanana nayo.

Wanaoitumia ni kama watu 715,000, wengi wao wakiwa Hispania, ambako inalindwa na kustawishwa zaidi.

Tanbihi

  1. Mughal, M. A. Z. 2013. "Spain." In: Native Peoples of the World: An Encyclopedia of Groups, Cultures, and Contemporary Issues, Vol. 3, Steven L. Denver (ed.). London & New York: Routledge, pp. 674–675.
  2. Zuazo, Koldo (2010). El euskera y sus dialectos. Zarautz (Gipuzkoa): Alberdania. p. 16. ISBN 978-84-9868-202-1. 

Marejeo

Sarufi

Utafiti wa lugha

Kamusi

Basque Corpora

Mengineyo

Historia ya lugha na misamiati

Uhusiano na lugha nyingine

Mandhari ya nadharia

Dhana ya Kiafro-asia

Dhana ya Kidené–Caucasian

Dhana ya Kikaukazi

Dhana ya Kiiberia

Dhana ya Kiurali au Kialtai

Dhana ya Kizungu cha zamani

Dhana nyingine

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Kieuskara
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kieuskara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.