Julius Kipyegon Kones (alizaliwa 1972) ni mwana-takwimu na mwanasiasa kutoka Kenya. Anahudumu kama mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi[1] katika shirika la kitaifa la uhifadhi wa maji na mabomba.
Makala hii kuhusu mwanasiasa huyo wa Kenya bado ni mbegu. Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |