Judy Garland

Amezaliwa Frances Ethel Gumm
(1922-06-10)Juni 10, 1922
Grand Rapids, Minnesota, US
Amekufa 22 Juni 1969 (umri 47)
Chelsea, London, U.K.
Kazi yake Mwigizaji
Mwimbaji
Miaka ya kazi 1924-1969 (mwimbaji)
1929-1967 (mwigizaji)
Ndoa David Rose (1941–1944)
Vincente Minnelli (1945–1951)
Sid Luft (1952–1965)
Mark Herron (1965–1967)
Mickey Deans (1969, yake ya kifo)

Judy Garland (alizaliwa tar. 10 Juni 1922 - 22 Juni 1969) alikuwa mwigizaji filamu na mwimbaji kutoka nchini Marekani.[1]

Uhusika wake maarufu ni ule wa Dorothy Gale kutoka katika filamu ya The Wizard of Oz (1939). Pia ni mshindi wa Tuzo za Oscar na ameshinda tuzo zingine kadha wa kadha kwa ajili ya shughuli zake za uigizaji na uimbaji. Huyu ni mama wa mwigizaji na mwimbaji Liza Minnelli.

Mwaka wa 1999, Taasisi ya Filamu ya Marekani imempa nafasi ya kumi katika orodha ya waigizaji nyota wa Marekani na historia yake kwa ujumla.[2]

Filamu

[hariri | hariri chanzo]

Marejeo

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Judy Garland: Biography". TV Guide. Iliwekwa mnamo 2011-12-23.
  2. AFI's 100 YEARS...100 STARS.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Judy Garland
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Judy Garland
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Judy Garland kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.