Jackson Kiplagat Kiptanui ni mwanasiasa wa Kenya na mwanachama wa United Republican Party(URP) na alichaguliwa kuwakilisha eneo bunge la Keiyo Kusini katika bunge la kitaifa la Kenya tangu uchaguzi wa bunge wa 2007. [1]
Makala hii kuhusu mwanasiasa huyo wa Kenya bado ni mbegu. Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |