Kata ya Itumba
Nchi Tanzania
Mkoa Mkoa wa Songwe
Wilaya Ileje
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 10,186

Itumba ni kata ya Wilaya ya Ileje na ndiyo makao makuu ya wilaya hiyo. Imepakana na Isongole ambayo imepakana na nchi ya Malawi katika Mkoa wa Songwe, Tanzania.

Jina linatokana na tumbaku kwa lugha ya Kilambya. Hii ni kwa sababu mtawala mkuu wa Walambya alikuwa analima tumbaku pembezoni mwa mto Itumba, nayo ilikuwa inastawi sana pembezoni mwa mto huo.

Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata hii ilikuwa na wakazi wapatao 10,186 [1] walioishi humo.

Msimbo wa posta ni 53401.

Marejeo

  1. Sensa ya 2012, Mbeya - Ileje DC. Jalada kutoka ya awali juu ya 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2017-03-13.
Kata za Wilaya ya Ileje - Mkoa wa Songwe - Tanzania

Bupigu | Chitete | Ibaba | Ikinga | Isongole | Itale | Itumba | Kafule | Kalembo | Lubanda | Luswisi | Malangali | Mbebe | Mlale | Ndola | Ngulilo | Ngulugulu | Sange |


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Songwe bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Itumba (Ileje) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .
Usiingize majina ya viongozi au maafisa wa sasa maana wanabadilika haraka mno