Huntha (kwa Kiingereza: hermaphrodite, kutokana na neno la Kigiriki ἑρμαφρόδιτος, hermaphroditos) ni mmea au mnyama mwenye jinsia mbili[1].
Kwa mimea hali hiyo ndiyo ya kawaida, kumbe kwa wanyama ni 0.7%.
Inakadiriwa kuna spishi 65,000 tu kati ya 8,600,000 hivi[2] za wanyama huntha[3], lakini si binadamu, hata kama huyo amezaliwa pengine na viungo vya uzazi visivyoeleweka. Kinachotambulisha jinsia ya mtu ni chembeuzi Y kuwepo (mwanamume) au kutokuwepo (mwanamke).
|date=
(help)
|accessdate=
(help)
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Huntha kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |