Humphrey Bogart

Bogart mnamo 1946
Amezaliwa Humphrey DeForest Bogart
(1899-12-25)Desemba 25, 1899
New York, U.S.
Amekufa 14 Januari 1957 (umri 57)
Los Angeles, California, U.S.
Kazi yake Mwigizaji
Ndoa Helen Menken (1926–1927)
Mary Philips (1928–1937)
Mayo Methot (1938–1945)
Lauren Bacall (1945–1957)
Tovuti rasmi

Humphrey DeForest Bogart (25 Desemba 189914 Januari 1957)[1][2] alikuwa mwigizaji wa filamu wa nchini Marekani. Huyu ameonekana katika zaidi ya filamu sabini na tano. Miongoni mwa filamu mashuhuri alizocheza ni pamoja na The Maltese Falcon (1941), Casablanca (1942) na The African Queen (1951).

Filamu alizocheza Bogart

Marejeo

  1. Ontario County Times limetangaza kuzaliwa, 10 Januari 1900.
  2. Tarehe ya Kuzaliwa ya Reckoning.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Humphrey Bogart
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Humphrey Bogart kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.