H.G. Wells mnamo 1920.

Herbert George Wells (21 Septemba 1866 - 13 Agosti 1946) alikuwa mwandishi kutoka nchini Uingereza.

Alizaliwa huko Bromley, Kent. Aliandika karibu vitabu 50. [1] Alikuwa mmoja wa wavumbuzi wa Bunilizi ya kisayansi, akiandika riwaya mbalimbali. Kati ya vitabu vyake mashuhuri ni The Invisible Man, The Time Machine, The Island of Dr. Moreau, na The War of the Worlds. Alilenga pia kueleza jinsi gani mambo aliyowaza katika vitabu vyake yangeweza kutekelezwa siku moja.

Baadhi ya vitabu vyake vimetengenezwa kuwa filamu .

Kazi zake

[hariri | hariri chanzo]

Biolojia

[hariri | hariri chanzo]

Bunilizi ya kisayansi

[hariri | hariri chanzo]

Vitabu vya Utopia

[hariri | hariri chanzo]

Riwaya

[hariri | hariri chanzo]

Marejeo

[hariri | hariri chanzo]
  1. Haynes R.D. 1980. H.G. Wells: discoverer of the future. Macmillan, London. ISBN 0-333-27186-6
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu H. G. Wells kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.