Guernsey ni kisiwa kikubwa cha pili kati ya Visiwa vya mfereji wa Kiingereza chenye wakazi 63,000 hivi (2019). Kipo karibu na pwani ya Ufaransa lakini ni eneo chini ya taji la Uingereza isipokuwa si sehemu ya Uingereza wenyewe.
Mji pekee ni St Pierre Port wenye wakazi 16,000.
Lugha inayotumiwa ni hasa Kiingereza. Kuna bado wasemaji 2,000 wa lugha asilia ya Kiguernsey (Dgèrnésiais) lakini idadi yao inazidi kupungua.
Guernsey ni pia jina la jumla la tarafa inayounganisha kisiwa cha Guernsey pamoja na visiwa vidogo vya Alderney, Sark, Herm, Jethou, Brecqhou na Burhou. Pamoja na tarafa ya Jersey ni eneo la pili la visiwa vya mfereji wa Kiingereza.
Nchi huru | Albania · Andorra · Armenia1 · Austria · Azerbaijan1 · Belarus · Bosnia na Herzegovina · Bulgaria · Denmark · Estonia · Georgia1 · Hispania · Hungaria · Iceland · Ireland · Italia · Kazakhstan2 · Kroatia · Kupro1 · Latvia · Liechtenstein · Lituanya · Luxemburg · Malta · Masedonia Kaskazini · Moldova · Monako · Montenegro · Norwei · Poland · Romania · San Marino · Serbia · Slovakia · Slovenia · Ubelgiji · Ucheki · Ufalme wa Muungano · Ufaransa · Ufini · Ugiriki · Uholanzi · Ujerumani · Ukraine · Ureno · Urusi2 · Uswidi · Uswisi · Uturuki2
|
---|---|
Nchi zisizokubaliwa na umma wa kimataifa | Abkhazia1 · Artsakh1 · Kosovo · Kupro ya Kaskazini1 · Ossetia ya Kusini1 · Transnistria |
Maeneo ya Ulaya ya kujitawala chini ya nchi nyingine | Akrotiri na Dhekelia1 · Åland · Azori · Visiwa vya Faroe · Gibraltar · Guernsey · Jan Mayen · Jersey · Madeira · Kisiwa cha Man · Svalbard |
1 nchi katika eneo la Asia ya Magharibi lakini kiutamaduni huhesabiwa kuwa sehemu ya Ulaya 2 nchi ya kimabara |
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Guernsey kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |