Kanisa la Tofta katika Mji wa Gotland
Ramani ya Gotland

Gotland ni kisiwa, manispaa na jimbo nchini Uswidi.

Ndiyo kisiwa kikubwa cha kwanza nchini Uswidi na pia ni kisiwa kikubwa cha Bahari ya Baltiki.

Kuna wakazi 58,003 (mwaka 2016). Mji mkubwa wa kwanza ni Visby.

Jiografia

Eneo lake ni km² 3,183.7. Iko kati ya Bahari ya Baltiki.

Mawasiliano

Ndege

Visby Airport inamilikiwa na Swedavia. Kiwanja cha ndege kiko kaskazini kwa Visby.

Wakazi mashuhuri

Nyumba ya sanaa

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Gotland kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.