Chuo Kikuu cha Arusha (kwa Kiingereza: University of Arusha ; kifupi: UoA) ni chuo kikuu binafsi kilichopo jijini Arusha, Tanzania[1][2]. Chuo kikuu cha Arusha kinamilikiwa na kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania.
Chuo Kikuu cha Arusha kinatoka astashahada, stashahada na shahada katika fani za:
Kigezo:Vyuo vikuu vya Tanzania
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Arusha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |