Mlango wa Majengo ya Bunge, Nairobi
Bunge majengo, Nairobi

Bunge la Taifa ni chumba cha chini cha Bunge la Kenya. Kabla ya Bunge la 11, kulikuwa na bunge la chumba kimoja, ila mpaka mwaka 1966 la vyumba viwili.

Lina jumla ya viti 349: kati yake, 290 ni vya kuchaguliwa kutoka majimbo ya uchaguzi, 47 vya wanawake waliochaguliwa kutoka kaunti na 12 vya wawakilishi walioteuliwa. Spika hatumiki kama mjumbe. 

Kamati

[hariri | hariri chanzo]

Kamati za kutunza nyumba

[hariri | hariri chanzo]

Kamati za kudumu

[hariri | hariri chanzo]

Kamati za Idara

[hariri | hariri chanzo]

Kamati nyingine

[hariri | hariri chanzo]

Kamati za Seneti na Bunge la Taifa za Pamoja:

Angalia pia

[hariri | hariri chanzo]

Marejeo

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]

Anwani ya kijiografia: 1°17′24″S 36°49′12″E / 1.29°S 36.82°E / -1.29; 36.82