Brigham Young
Mpango wa Wokovu kadiri ya Umormoni[1].

Brigham Young (1 Juni 1801 - 29 Agosti 1877) alikuwa kiongozi wa Wamormoni aliyemfuata mwanzilishi Joseph Smith, Mdogo kuanzia mwaka wa 1847 hadi kifo chake.

Hasa anajulikana kwa kuwaongoza Wamormoni katika safari yao ya kuhamia jimbo la Utah.

Marejeo

  1. Teachings of Presidents of the Church: Brigham Young:The Plan of Salvation
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Brigham Young kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.