African Sports Club ni klabu ya mpira wa miguu kutoka jijni Tanga, Tanzania. Walishiriki ligi kuu Tanzania bara mwaka 2015/2016, ambayo ndiyo ligi ya nafasi ya juu nchini Tanzania.[1][2]
Mechi za nyumbani huchezwa katika uwanja wa Mkwakwani.