Abdul Ali Bahari ni mwanasiasa wa Kenya. Mwanachama wa muungano wa kitaifa wa Kenya, Ali alichaguliwa kuwakilisha eneobunge la Isiolo Kusini katika Bunge la Kenya uchaguzi wa 2007. [1]
Makala hii kuhusu mwanasiasa huyo wa Kenya bado ni mbegu. Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |